Ilani ya Vidakuzi

Mara ya Mwisho Ilisasishwa: 01.08.2019

Hapa Upfield, tunaheshimu masuala yako kuhusu faragha na kuthamini uhusiano tulio nao nawe.

Kama kampuni nyingi, tunatumia teknolojia kwenye tovuti zetu kukusanya taarifa ambazo hutusaidia kuboresha hali yako ya utumiaji na bidhaa na huduma zetu. Vidakuzi tunavyotumia hapa Upfield huruhusu tovuti zetu kufanya kazi na kutusaidia kuelewa taarifa na matangazo ambayo ni muhimu sana kwa wageni.

Tafadhali chukua muda kusoma Ilani hii ya Vidakuzi ("Notice") na ikiwa una maswali yoyote, kuwa huru kututumia barua pepe kupitia Upfield.Privacy@upfield.com.

Unaposoma Ilani yetu ya Faragha, tafadhali fahamu kuwa inatumika kwa Upfield B.V. na kampuni zote za Upfield Group ("Upfield"). 

Upfield Europe B.V. ni mdhibiti wa data wa data ya binafsi tunayokusanya kwenye tovuti ya www.upfield.com.  Upfield Europe B.V. au asasi ya karibu ya Upfield itakuwa mdhibiti wa data wa data ya binafsi tunayokusanya kwenye tovuti mahususi ya chapa ya karibu (kwa mfano, https://www.flora.com/ au https://www.fruitdor.fr/).  

Ilani hii inatumika kwenye tovuti, programu, kurasa za chapa kwenye mifumo mingine (kama vile Facebook au YouTube) na programu zozote zinazofikiwa au kutumika kupitia tovuti kama hizo au mifumo mingine (hapa, “tovuti zetu”) zinazoendeshwa na au kwa niaba ya Upfield. Ikiwa hukubaliani na matumizi yetu ya vidakuzi kwa njia hii, unapaswa kuweka mipangilio ya kivinjari chako inavyofaa, kulemaza vidakuzi tunavyotumia au kutotumia tovuti yetu kabisa. Ukilemaza vidakuzi tunavyotumia, hii inaweza kuathiri hali yako ya mtumiaji ukiwa kwenye tovuti.

Sehemu iliyo hapa chini inatoa muhtasari wa aina tofauti za vidakuzi na teknolojia nyingine sawa, tunatumia tovurti zetu, pamoja na madhumuni yake husika. Ilani hii pia inatoa taarifa kuhusu jinsi ya kudhibiti vidakuzi hivi.

Vidakuzi, lebo za pikseli na tekonolojia sawa (kwa pamoja ‘vidakuzi’) ni faili zilizo na taarifa ndogondogo zinazopakuliwa kwenye kifaa chochote kilichowezeshwa kuwa na intaneti – kama vile kompyuta, simu mahiri au kompyuta kibao yako – unapotembelea tovuti. Kisha vidakuzi vinatumwa tena kwenye tovuti vinakotoka kwa kila ziara inayofuata, au kwenye tovuti nyingine inayotambua kidakuzi hicho. Vidakuzi hufanya kazi nyingi sana tofauti na muhimu kama vile kukumbuka mapendeleo yako, kuboresha hali yako ya utumiaji mtandaoni kwa jumla na kutusaidia kukupa bidhaa na huduma bora.

Vidakuzi vilivyowekwa na mmiliki wa tovuti (yaani Upfield) vinaitwa "vidakuzi vya mhusika mwingine".  Vidakuzi vilivyowekwa na mhusika mwingine ambaye si mmiliki wa tovuti vinaitwa "vidakuzi vya mhusika mwingine". Tunatumia wahusika wengine kadhaa wanaoweza kuweka vidakuzi kwenye kifaa chako kwa niaba yetu unapotembelea tovuti zetu ili kuviruhusu kutoa matangazo yanayofaa Upfield ndani ya vikoa vyao, kwa mfano Facebook na Google DoubleClick (kwa taarifa zaidi tazama sehemu iliyo hapa chini yenye kichwa "Targeted Advertising"). Pia tunatumia washirika kadhaa kutoa hali ya utumiaji na vipengele vya dijitali kwenye tovuti yetu. Kwa mfano, unapovinjari tovuti zetu unaweza kutumiwa vidakuzi kutoka kwa wahusika wengine wanaotoa baadhi ya vipengele vyake kwenye tovuti zetu (mfano, video ya YouTube).  Tazama sehemu iliyo hapa chini yenye kichwa "Ni vipi ninavyoweza kudhibiti matumizi ya vidakuzi" kwa kina zaidi kuhusu jinsi unavyoweza kutekeleza chaguo lako la uwekaji / matumizi ya vidakuzi.

Vidakuzi vinavyotumiwa kwenye tovuti za Upfield vinaweza kuainishwa kwa jumla ifuatavyo: 

Aina za vidakuz+i

Anayetoa vidakuzi hivi

Vidakuzi muhimu vya tovuti: Vidakuzi hivi ni muhimu ili kukupa huduma zinazopatikana kupitia tovuti zetu na kutumia baadhi ya vipengele vyazo, kama vile kufikia sehemu salama.  

Upfield (www.upfield.com)




Vidakuzi vya matangazo: Vidakuzi hivi hutumiwa kufanya ujumbe wa matangazo kukufaa zaidi.  Hufanya majukumu kama vile kuzuia tangazo lilelile kuonekana tena mfululizo, kuhakikisha kuwa matangazo yanaonyeshwa vizuri kwa watangazaji na katika hali nyingine kuteua matangazo yanayolingana na mambo yanayokuvutia.

Google (www.google.com

Ili kujua jinsi ya kudhibiti matumizi ya Vidakuzi hivi, tafadhali tazama sehemu ya "Ninaweza kudhibiti vipi matumizi ya Vidakuzi", hapa chini.

Vidakuzi si njia pekee ya kutambua wala kufuatilia wageni kwenye tovuti.  Tunaweza kutumia teknolojia nyingine sawa mar akwa mara, kama vile violeza vya wavuti (wakati mwingine huitwa "tracking pixels" au "clear gifs").  Hii ni michoro midogo iliyo na kitambuaji cha kipekee kinachotuwezesha kutambua wakati mtu ametembelea tovuti zetu [au kufungua barua pepe ambayo tumemtumia].  Hali hii huturuhusu, kwa mfano, kufuatilia mienendo ya trafiki ya watumiaji kutoka kwenye ukurasa mmoja ndani ya tovuti zetu hadi mwingine, ili kuwasilisha au kuwasiliana na vidakuzi, kuelewa ikiwa umekuja kwenye tovuti kutokana na tangazo la mtandaoni lililoonyeshwa kwenye tovuti nyingine, ili kuboresha utendakazi wa tovuti na kupima ufanisi wa kampeni za kutafuta soko kwa njia ya barua pepe.  Katika hali nyingi, teknolojia hizi hutegemea vidakuzi ili kufanya kazi vizuri na hivyo kupunguza vidakuzi kutalemaza utendakazi.

Wahusika wengine wanaweza kutoa vidakuzi kwenye kompyuta au kifaa chako cha mkononi ili kukupa matangazo kupitia tovuti zetu. Kampuni hizi zinaweza kutumia taarifa kuhusu ziara zako kwenye tovuti hii na nyingine ili kukupa matangazo yanayokufaa kuhusu bidhaa na huduma ambazo huenda ukavutiwa nazo. Pia zinaweza kutumia teknolojia inayotumiwa kupima ufaafu wa matangazo. Hii inaweza kutimizwa kwa kutumia vidakuzi au violeza vya wavuti kukusanya taarifa kuhusu ziara zako kwenye tovuti hii na nyingine ili kukupa matangazo yanayofaa kuhusu bidhaa na huduma zinazoweza kukuvutia. Taarifa zilizokusanywa kupitia mchakato huu hazituwezeshi sisi wala wao kutambua jina, maelezo yako ya mawasiliano wala maelezo mengine yanayokutambua isipokuwa uamue kutupa haya.

Tunatumia vidakuzi kwa sababu zifuatazo:

Vivinjari vingi vya intaneti vinawekwa kwanza ili kukubali vidakuzi kiotomatiki. Ikiwa hutaki tovuti zetu kuhifadhi vidakuzi kwenye kifaa chako, unaweza kubadilisha mipangilio ya kivinjari chako ili upokee onyo kabla ya vidakuzi fulani kuhifadhiwa. Unaweza pia kurekebisha mipangilio yako ili kivinjari chako kikatae vidakuzi vyetu vingi au vidakuzi fulani pekee kutoka kwa wahusika wengine. 

Ukilemaza vidakuzi tunavyotumia, hali hii inaweza kuathiri hali yako ya utumiaji wa tovuti ya Upfield, kwa mfano huenda usiweze kutembelea sehemu fulani za tovuti au huenda usipokee taarifa zinazokufaa unapotembelea tovuti.

Ikiwa unatumia vifaa tofauti vya kutazama na kufikia tovuti ya Upfield (mfano, kompyuta, simu mahiri, kompyuta kibao) utahitaji kuhakikisha kuwa kila kivinjari kwenye kila kifaa kimerekebishwa ili kufaa mapendeleo yako ya vidakuzi.

Taratibu za kubadilisha mipangilio na vidakuzi zinatofautiana kutoka kivinjari hadi kingine. Ikihitajika, tumia kipengele cha usaidizi kilicho kwenye kivinjari chako au bofya kwenye kimoja cha vivinjari vilivyo hapa chini kuenda moja kwa moja kwenye mwongozo wa mtumiaji wa kivinjari chako.


To find out more about cookies visit www.allaboutcookies.org.

Kuhusu muda, tunaweza kutumia aina mbili tofauti za vidakuzi kwenye tovuti zetu:

Tukifanya sasisho kuu kwenye Ilani hii, tutakuarifu kupitia ibukizi kwenye tovuti kwa muda unaofaa kabla ya na baada ya mabadiliko. Pia tutapitia tarehe ya "mara ya mwisho ilisasishwa" juu ya Ilani hii. Unaweza kupitia Ilani kwa kutembelea Tovuti na kubofya kiungo cha “Ilani ya Vidakuzi”.